NGORONGORO HEROES KUWAVAA UGANDA FAINALI YA CECAFA U20 |Shamteeblog.

ARUSHA: Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 hiyo jana imechomoza na ushind wa goli moja kwa bila dhidi ya vijana kutokea nchini Sudan Kusini mchezo uliochezwa katika uwanja wa Black Rhino, Karatu jijini Arusha. Bao pekee la Ngorongoro lilipatikana dakika ya 55 kupitia kwa Kassim Shaban baada ya kipa wa timu hiyo […]

Source



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post