Klabu ya Chelsea ina mpango wa kupata saini ya mshambuliaji, Erling Braut Haaland mwishoni mwa msimu huu. Dortmund wapo tayari kumuuza Haaland kama watapokea ofa ya zaidi ya Pauni Milioni 66 ambayo ipo kwenye mkataba wake lakini inakua hai mwaka 2022, kwa hiyo kwa anayemtaka nyota huyo itabidi aweke mezani ofa inayozidi Pauni Milioni 66 […]
By Mpekuzi
Post a Comment