Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (kulia) akipita mbele ya banda la maonesho la Benki ya NMB alipokuwa akikagua mabanda ya kwenye maonesho ya wiki ya sheria mwaka 2021 na maadhimisho ya miaka 100 ya Mahakama Kuu ya Tanzania yaliyoendelea jana viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Makamu wa Rais alifungua rasmi maonyesho na NMB ni miongoni mwa benki washiriki wa maonyesho hayo Kitaifa.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki matembezi kwenye maadhmisho ya wiki ya sheria Kitaifa na maonyesho ya miaka 100 ya Mahakama Kuu ya Tanzania yaliyofanyika jana Jijini Dodoma, Nmb ni miongoni mwa Benki zinazoshiriki maonyesho hyao yanayofanyika Kitaifa Jijini Dodoma.
from Author
Post a Comment