Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wimbo unaitwa Kelele.Video hii imetengenezwa Makula Studios..Ni ngoma yenye ujumbe safi unaozungumzia kiujumla maisha ya jamii inayotuzunguka. Tazama hapa chini
By Mpekuzi
Post a Comment