Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kitendo cha wachezaji wa Namungo FC, na benchi la ufundi kuzuiliwa katika uwanja wa Ndege nchini Angola ni siasa za soka. Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Majaliwa amesema, Wizara ya Mambo ya Nje inafuatilia kwa ukaribu suala hilo ili kuona namna nzuri ya timu hiyo kucheza mchezo wake wa […]
By Mpekuzi
Post a Comment