Na Amiri Kilagalila,Njombe Mkuu wa mkoa wa Njombe mhandisi Marwa Rubirya ameagiza wamiliki wa viwanda vya chai vya Lupembe estate na kampuni ya DL kufika ofisini kwake jumatatu wakiwa na taarifa za utekelezaji wa maelekezo waliyopewa kuhusiana na malipo ya wakulima na wasafirishaji wa chai. Agizo hilo amelitoa leo katika kikao na waandishi wa habari […]
By Mpekuzi
Post a Comment