WANANCHI wametakiwa kushirikiana katika suala la kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria ili kuendelea kunufaika na rasilimali za uvuvi. Hayo yalisemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki, katika kikao cha wadau wa Uvuvi kanda ya Ziwa kilichojadili kuhusu ulinzi na usimamizi wa rasilimali za Uvuvi na kusema suala la udhibiti wa uvuvi haramu katika […]
By Mpekuzi
Post a Comment