Katika kuadhimisha siku ya Wanawake duniani, Wafanyakazi wanawake wa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Makao Makuu, wametoa msaada na kuwafunda wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kondoa. Afisa Mkuu wa fedha TANESCO, CPA. Renata Ndege amewataka wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kondoa kuwa chachu ya maendeleo kwa kuzingatia elimu, […]
By Mpekuzi
Post a Comment