NI Baba/Babu Anaitwa Peter Malatwe, Ana Umri Miaka 77, Kabila Mnyamwezi.
Amepotea Maeneo Ya Kongoe-Mbagala alipokua anaishi.
Ni siku ya tano sasa toka alipopotea.
Tafadhali, Tunaomba ushirikiano wako kufanikisha Hili, Sambaza Ujumbe Huu Kwenye Magroup Mengine.
Kwa mawasiliano zaidi Mpigie Anayemtafuta Anaitwa Veronica Petro Malatwe, Namba ya simu 0652200322
Au Toa Taarifa Kwenye Kituo Chochote Cha Polisi Kilichokuwa Karibu Nawe.
By Mpekuzi
Post a Comment