WAJUMBE KAMATI YA UONGOZI WAJADILI HUDUMA ZA BIMA YA AFYA KWA WABUNGE JIJINI DODOMA |Shamteeblog.

 

 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya uongozi kilichokaa na Kujadili huduma za Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali ya Mitaa, Mhe. Grace Tendega wakiwa katika kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na Kujadili huduma za Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya uongozi (hawapo kwenye picha) katika kikao kilichokaa na Kujadili huduma za Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Stanslaus Nyongo akichangia jambo katika kikao cha Kamati ya uongozi kilichokaa na Kujadili huduma za Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Ndg. Bernard Konga akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa kamati ya Bunge ya uongozi katika kikao cha Kamati hiyo kilichokaa na kujadili huduma za Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI ZA BUNGE)



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post