……………………………………………………………………………………………..
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya uongozi kilichokaa na Kujadili huduma za Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wapili kushoto kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto), kuanzia kulia kwake ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Prof. Aderladus Kilangi
(PICHA NA OFISI ZA BUNGE)
By Mpekuzi
Post a Comment