Yanga yaichakaza bao 3-1 Gwambina |Shamteeblog.





 Dakika 90+4 Saido Goal Asisti Sarpong 
Zinaongezwa dakika 4

Dakika ya 90, Carinhos anapiga kona ya 6

Dakika ya 88 Yanga wanapata kona inakwenda kupigwa na Carinhos 

Dakika ya 87, Sarpong anaotea

Dakika ya 81 Yusuph Kagoma kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kibwana, Carinhos anapiga faulo haizai matunda 

Dakika ya 82 Yusuph Dunia anaonyeshwa kadi ya njano anatolewa anaingia Salim Juma

.Dakika ya 80 Gwambina wanaotea

Dakika ya 78 Mtui anapiga faulo Sarpong anazuia law Mkono anaonyeshwa kadi ya njano 

Dakika ya 77 Kibwana anacheza faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 76 Gwambina wanapeleka mashambulizi Yanga

Dakika ya 75 Carinhos anapiga faulo haileti matunda

Dakika ya 74, Gwambina wanagongeana pasi kwa utulivu mkubwa

Dakika ya 69 Carinhos anapiga faulo inaokolewa inakuwa kona ya tano kwa Yanga inapigwa na Carinhos inaokolewa 

Dakika ya 68, Sarpong anaingia anatoka Yacouba 

Dakika ya 65 Saido anaingia kuchukua nafasi ya Kisinda

Dakika ya 64, Kisinda anapewa huduma ya Kwanza baada ya kuchezewa faulo

Dakika ya 54 Carinhos anapiga kona inapigwa kichwa na Kaseke inapaa nje kidogo ya lango 

Dakika ya 52, Carinhos anapiga kona ya Kwanza inaokolewa inapigwa ya pili Mwanyeto Goal

Dakika ya 50 Jimson Mwanuke anafunga goal akiwa nje ya 18

Dakika ya 47 Kibwana anapeleka majalo mbele

Dakika ya 46 Gustava anaokoa majalo

Dakika ya 46 Kibwana anapeleka majalo

Kipindi cha pili kimeanza 

Mapumziko 

UWANJA wa Mkapa, Yanga 1-0 Gwambina

Dakika ya 45+2 Yacouba anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Gwambina ndani ya 18

Zinaongezwa dakika 3

Dakika ya 45 Gwambina wanapeleka mashambulizi Yanga 

Dakika ya 44 Mwamnyeto anaingia kuchukua nafasi ya Job

Dakika ya 43, Job anapewa huduma ya Kwanza na kuomba atoke

Dakika ya 42, Meshack anaotea

Dakika ya 40 Yacouba anaotea

Dakika ya 40, Shikalo anaanza na Job

Dakika ya 39, Adeyum anacheza faulo kwa Meshack Abraham 

Dakika ya 36, Rajab Athuman anafanya jaribio linaokolewa na kipa Shikalo 

Dakika ya 31 Ninja anamchezea faulo Nonga

Dakika 30, Kisinda anachezewa faulo

Dakika ya 27 Carinhos anapiga kona ya pili fupi anampa Kaseke anamrudishia Carinhos ma kufanya jaribio nje ya 18 inakwenda nje kidogo ya uwanja

Dakika ya 26 Carinhos anapiga faulo kwa Yanga

Dakika ya 18, Nchimbi goal Asisti Kaseke

Dakika ya 17 Carinhos anapiga kona ya kwanza

Dakika ya 14 Shikalo anaokoa faulo ya Gwambina 

Dakika ya 12 kipa wa Gwambina anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika 11  Nonga anapokwa mpira

Dakika ya 10 Nchimbi anacheza faulo

Dakika ya 9, Carlos Carlinhos kwa Nchimbi kisha Adeyum ngoma inapelekwa kwa Mkoko

Dakika ya 8 Kaseke anaingiza majlo ndani

Dakika ya 6 Yacouba Sogne anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 5 Nonga anaotea

Dakika ya 4 Ninja anacheza faulo

Dakika ya pili Nonga anaotea

Mchezo wa Ligi Kuu Bara, mzunguko wa pili.

Mzunguko wa kwanza,  Uwanja wa Gwambina Complex ubao ulisoma Gwambina 0-0 Yanga, zama za Cedric Kaze.



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post