Wakazi wa mkoa Dar es Salaam na maeneo ya jirani wakiwa wamefurika kwa wingi katika Soko Kuu la Kariakoo wakiwa katika harakati ya kupata mahitaji mbalimbali kwaajili ya maandalizi ya sikukuu Eid el Fitri hali hii imekuwa ni kawaida kutokea katika eneo hili la Karikakoo hasa inapofika msimu wa sikukuu.(Picha zote na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kununua bidhaa mbalimbali ikiwemo viatu kama wanavyoonekana ikiwa ni maandalizi ya Siku kuu ya Idd el Fitri leo tarehe 12 Mei, 2021.
Baadhi ya wakazi mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kununua vyombo kama inavyoonekana na pichani leo tarehe 12 Mei, 2021.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
By Mpekuzi
Post a Comment