Bei za rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa Julai 2021 zimeongezeka kwa TZS 156/lita, 142/lita na 164/lita, mtawalia.
Vivyo hivyo, bei za jumla za petroli, dizeli na mafuta ya taa zimeongezeka kwa 155.57/lita, 141.94/lita na 163.49/lita, mtawalia
from Author
Post a Comment