Mahakama Kuu ya Pennsylvania imegundua Mchekeshaji Bill Cosby awali alikuwa na makubaliano na Mwendesha Mashtaka wa Serikali kuwa hatoshitakiwa kwa makosa hayo ya Udhalilishaji wa Kingono
Mwaka 2015 alikuja Mwendesha Mashtaka mwingine wa Serikali ambaye alimchukua Andrea Constand ili ashuhudie kunyanyaswa kingono na kumfanya Cosby afungwe
Aidha, Wanawake wengi walijitokeza wakidai kuwa Cosby aliwanyanyasa kingono lakini imebainika maelezo yao hayaendani na kesi
from Author
Post a Comment