Mwigizaji maarufu hapa Tanzania @auntyezekiel katika mahojiano na BonaTv usiku wa kuamkia leo amefunguka kuhusiana na umri wake yeye pamoja na mume wake @_kusah_ .Katika mahojiano amefunguka haya:•
"Najua Watu Hawato Amini Ila Ukweli Ndio Huu Mimi Nina Miaka 28 Na Mume Wangu Kusah Anamiaka Nadhani 29 Wale Wanaosema Nimemzidi Umri Wakae Kimya Tu Maana Ukweli Ndio Huo"-Ameongea Aunt Ezekiel
NINI MAONI YAKO
from Author
Post a Comment