Kumekucha..Mwisho wa Boda Boda na Bajaji Kuingia Mjini ni Tarehe Moja November |Shamteeblog.


“Ifikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu” Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post