Kwa Nini Watu Wengi Wanaanguka Bafuni na Kupata Stroke Mara Nyingi |Shamteeblog.
Imetokea mara nyingi kusikia kuwa jamaa kaanguka bafuni na kufariki au kupata stroke au hajitambui na wala haongei!
Ukiwa unapresha na ukaingia bafuni kuoga, unapoanza kichwani kujimwagia maji ni hatari kwani mwili wote na viungo upata mawasiliano kwa kuongozwa na sehemu maalum kichwani iitwayo control centre, hii ina idara nyingi kwa kazi husika kiasi kwamba mwili na viungo vyake uendeshwa kwa ustadi mkubwa kama Mungu mmoja wa pekee alivyoumba na kukadiria.
Maji yakimwagiwa kichwani yanastua sehemu muhimu zikiwemo za mfumo wa moyo na fahamu ghafla kiasi kwamba uwiano ukikosa kati ya moyo na fahamu inatokea mtu kuzirai na hatimaye stroke inatokea.
Ushauri anza kujimwagia kiunoni na kushuka chini kwenye miguu na kisha kifunoni hadi kifuani na kumalizia kichwani na hii inaweka uwiano sawa kati ya mwili na ubongo kupokea maji mwilini.
from Author
Post a Comment