WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YATOA ELIMU KWA WAKULIMA MAONESHO YA NANENANE |Shamteeblog.

Mhasibu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Haruna Sempombe, (kushoto) akioneshwa nyaraka na Bw. Gerson Mwande, Simon Mgeni (kulia) na Stephen Simfukwe, wakati walipotembelea banda la Wizara hiyo kufahamu kuhusu masuala ya pensheni kwa wastaafu katika maonesho ya Nanenane yenye kauli mbiu ‘Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya Kilimo, Uvuvi Na Mifugo”, yanayofanyika kitaifa uwanja wa John Mwakangale, jijini Mbeya.

Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Uwekezaji (UTT Amis), Bw. Julius Mlwafu (kushoto), akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo katika maonesho ya Nanenane yenye kauli mbiu ‘Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya Kilimo, Uvuvi Na Mifugo”, yanayofanyika kitaifa uwanja wa John Mwakangale, jijini Mbeya.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Mbeya)

Mkurungezi wa Takwimu za Uchumi, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bw. Daniel Masolwa, akisaini katika daftari cha wageni alipotembelea banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika maonesho ya Nanenane yenye kauli mbiu ‘Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya Kilimo, Uvuvi Na Mifugo”, yanayofanyika kitaifa uwanja wa John Mwakangale, jijini Mbeya. Katikati ni Afisa Masoko wa NBS Bw. Andrew Punjila na kushoto ni Bi. Hilda Mlay, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar e Salaam.

Mchumi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Idara ya Mipango ya Kitaifa, Bi. Irene Mghase, akimueleza Bw. Emanuel Ghula, kuhusu mipango ya maendeleo hususani sekta ya kilimo na mikakati inayotekelezwa kuboresha sekta hiyo katika maonesho ya Nanenane yenye kauli mbiu ‘Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya Kilimo, Uvuvi Na Mifugo”, yanayofanyika kitaifa uwanja wa John Mwakangale, jijini Mbeya.

Mhasibu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Haruna Sempombe, (kushoto) akioneshwa nyaraka na Bw. Gerson Mwande, Simon Mgeni (kulia) na Stephen Simfukwe, wakati walipotembelea banda la Wizara hiyo kufahamu kuhusu masuala ya pensheni kwa wastaafu katika maonesho ya Nanenane yenye kauli mbiu ‘Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya Kilimo, Uvuvi Na Mifugo”, yanayofanyika kitaifa uwanja wa John Mwakangale, jijini Mbeya.

By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post