Mhandisi Saeed Abdullah Bakhresa ndiye aliyeongoza na kusimamia kitengo cha uhandisi katika kuujenga uwanja mkubwa kuliko yote nchini Qatar,uwanja wa Lusail.
Uwanja huo uligharimu dola za kimarekani milioni 767 (Shilingi trilioni 1.7)na ulichukua miaka miwili na nusu kumalizika
from Author
Post a Comment