KAMATA ODDS KUBWA KUTOKA MERIDIANBET SPECIAL KWA KOMBE LA DUNIA |Shamteeblog.

SIKU ni Jumatatu na Jumanne wakati ambao wengi wanakuwa kwenye mihangaiko ya kutafuta chochote kitu, ili mkono uende kinywani, sikia mdau! Meridianbet hawakuachi ukateseka, msimu huu wa kombe la dunia wanakupa machaguo special kwa ODDS kubwa na Bomba, kikubwa ni wewe kubeti bila kuchoka tena ukibeti kwa kitochi dau lako la chini tu TZS 250/= Inakubali!!!


Jumatatu 28 Novemba 2022
Hizi ni mechi za kuamua hatima ya mataifa mengi kama yanaendelea kwenye hatua inayofuata ama watakuwa wameaga michuano hiyo, ni siku ambayo mataifa mawili kutoka Afrika yatakuw uwanjani kwa mida tofauti kutafuta matokeo mazuri, ni Cameroon vs Serbia na Ghana vs Jamhuri ya Korea. Meridianbet hawana dogo, wamekuwekea machaguo special na ODDS kubwa. Beti idadi ya magoli, kona, pasi, kadi nyekundu na njano n.k

Vinara wa WC Brazil watarudi dimbani kukipiga na Uswizi, mpaka sasa Brazil hajapoteza mehi hata moja, unadhani Uswizi ataweza kuuvunja mwiko huo, Iko hivi sehemu ya kubetia yenye Odds kubwa na boma ni moja tu, Meridianbet Kama ukimpa Brazil ashinde kwa tofauti ya goli moja ina odds ya 3.65 huku Uswizi akiwa na 8.40 Beti hapa.

Gemu nyingine ya hela hii hapa, imekaa kweupe sana na huhitaji kuumiza sana akili yako, machaguo special ya meridianbet yanakurahisishia kazi yako ya kubeti, Ureno vs Uruguay, kwa mfano tu ukampa Ureno ashinde mechi kwa toafauti ya goli moja Odds yake ni 3.85 huku Uruguay ana 5.60, Basi tusema hapo ni kugumu unaweza kubeti goli la kwanza atafunga nani, Ronaldo pekee ukimpa ana 5.40, ukimpa Suarez ana 8.80 basi hata mpe Darwin Nunez ana 8.60, Tazama hapa machaguo special.

Jumanne 29 Novemba 2022
Huenda ikawa habari njema kwako au mbaya kwa upande mwingine pala ambapo Senegal atacheza na Ecuador halafu afungwe!! Hii ni mechi yenye matokea yasiyo julikana moja kwa moja, mimi nakuamini sana wewe mdau ukibeti huwa hukosei, nakupa chimbo lenye Odds kubwa hapa mjini ni Meridianbet pekee, yaani pale unajichagulia wewe tu beti yako iweje. Bonyeza hapa kuona Odds za leo Kombe la Dunia.

Majirani kabisa hawa, WALES VS ENGLAND watakutana uwanjani kuonesheana ubabe, Uingereza tayari ana alama 4, mpaka sasa anatafuta nyingine tatu ili ajihakikishie kufuzu hatau inayofauata. Machaguo Special meridianbet yanaonesha kwamba kama Wales atashinda kwa toafauti ya goli moja basi ODDS Yake ni 9.00 England ana 4.40 hii peke ake inaweza kukufanya uwe milionea kama ukiweka mpunga wa kutosha.

Unajua kabisa ni nini hutokea pale ambapo Iran akikutana na Marekani iwe ndani ya uwanja au nje, usichelewe sana kwenye mechi hii pesa zipo nje nje ni wewe tu kupanga unazichukua kwa mtindo gani, ila njia rahisi Zaidi ya kuzipata kwa wingi ni kutumia machaguo special ya Meridianbet. Haya yakoje? Ni maalum kwa kombe la dunia yanakupa Odds kubwa na Bomba tena kwa chaguo rahisi sana, kama vile idadi ya kona, pasi za magoli, idadi ya pasi, mfungaji wa kwanza na wa mwisho kwa mechi moja, unaanzaje kuacha kubeti sasa. Bonyeza hapa kujionea yalivyo.

Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post