Ameandika Mwijaku Kwenye ukurasa Wake Instagram:
Unamuitaje zuchu MKE WAKO ? Wakati hauja OA . Kwa sheria ya kiislaamu tayari UMERITAD inabidi USILIMU TENA UWE MUISLAMU .
Kwa kuongea uongo kwenye sunnah alio itekeleza mtume wetu muhammad swalla llahu alayh wasalaam .
from Author
Post a Comment