Wenyeji Qatar wamepoteza mchezo wa ufunguzi wa michuano ya kombe la Dunia baada ya kufungwa 2-0 na Ecuador.
Huo ni Mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa michuano ya FIFA.
Ni Enner Valencia ndiye aliyepeleka balaa kwa wenyeji baada ya kupachika mabao mawili.
Kesho mchezo mwingine wa kundi A utawakutanisha Senegal na Uholanzi.
The post Qatar yapoteza mechi ya ufunguzi appeared first on KITENGE BLOG.
By Author
Post a Comment