Senegal kuivaa Uholanzi |Shamteeblog.

Timu ya taifa ya Senegal leo watashuka dimbani kuivaa Uholanzi katika mechi ya pili baada ya ufunguzi wa kombe la Dunia.

Michuano hiyo ilifunguliwa jana Novemba 20 huku wenyeji Qatar wakifungwa 2-0 na Ecuador.

Senegal watawavaa Uholanzi bila ya mchezaji namba mbili kwa ubora duniani Sadio Mane ambaye ameumia.

Uholanzi inafundishwa na kocha mwenye umri mkubwa zaidi kwenye michuano hii, Luis Van Gaal .

Mechi nyingine za leo ni :

Kundi B: Uingereza vs Iran

Kundi B: Marekani vs Wales.

The post Senegal kuivaa Uholanzi appeared first on KITENGE BLOG.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post