Kutoka Syria Binti Wa Miaka 7 Ameokoa Maisha Ya Mdogo Wake Wa Kiume Baada Ya Kunasa Chini Ya Kifusi Kwa Saa 17 Tangu Kutokea Tetemeko Kubwa Lililoondoka Na Maisha Ya Watu 15,00
Binti Huyo Alitumia Mkono Wake Kuzuia Kichwa Cha Mdogo Wake Kisiguswe Na Vifusi Vilivyokua Juu Yao Kwa Saa 17 Mpaka Walipopata Msaada Nakutolewa Wakiwa Salama.
Uturuki Na Syria Zimekumbwa Na Tetemeko Kubwa La Ardhi Ambalo Mpaka Sasa Limeacha Majonzi Kwa Nchi Hizo.
from Author
Post a Comment