QUEEN mke wa Dr Mwaka Amepiga magoti na kulia kwa uchungu wakati akihojiwa na kituo cha radio Clouds FM kipicha cha Jahazi na Kusema haya :
"Nipo tayari kumpa kila kitu Dr Mwaka lakini nibaki na amani yangu, nilee watoto wangu, mimi na yeye tumefika mwisho na sio ugomvi, natamani uwe mwisho wenye amani, isifike mahali ananidhalilisha kwenye mitandao, kutengenezeana kesi za polisi na kutishana maisha"
from Author
Post a Comment