Baada ya siku chache zilizopita kuona Staa wa Muziki @harmonize_tz amemfollow Msanii mwenzie @rayvanny Ambae wamekuwa wakionesha kutokuwa na maelewano Mazuri kwa muda mrefu Toka #Harmonize aachane na Lebo ya #WCB.
.
.
Sasa wawili hao huwenda kukawa na Maelewano Mazuri kwa sasa hii inakuja baada ya #Rayvanny nae kumfollow Back Staa mwenzake #Harmonize katika Ukurasa wake wa Instagram na sasa ni Marafiki kwenye Mtandao huo.
.
.
Ungetamani kuona Project ya Pamoja kutoka kwa Wawili hao?
.
from Author
Post a Comment