Mwimbaji, na mtunzi kutoka nchin Nigeria Burna Boy amepoteza vipengele viwili alivyoteuliwa katika toleo la 65 la tuzo za Grammy 2023, zinazo enedelea Muda huu kwenye ukumbi wa Microsoft Teatre nchini Marekani.
-
Mwimbaji huyo aliteuliwa pamoja na wasanii bora kama vile Angelique Kidjo, katika kitengo cha 'Best Global Album' na Eddy Kenzo katika kitengo cha 'Best Global Performance'. Kitengo cha 'Best Global Album', ambapo alipata uteuzi wa albamu yake ya 'Love Damini', alishinda Masa Takumi na albamu; 'Sakura.'
-
Endelea kukaa karibu na Mitandao yetu ya Kijamii kwa Update zaidi ..
from Author
Post a Comment