Kumekuwepo na sintofahamu juu ya puto linaloendelea kuonekana kwenye Anga la Amerika ya Kaskazini. Baadhi ya maeneo ambapo puto hilo limeonekana kwa macho ni pamoja na majimbo ya North na South Carolina.
Puto hilo linasadikiwa kuwa la kipelelezi linalokusanya taarifa.
from Author
Post a Comment