Pyramids yampatia Tuzo Mayele Baada ya Kukosa Tuzo ya CAF |Shamteeblog.

Pyramids yampatia Tuzo Mayele
Uongozi wa Klabu ya Pyramids umempa tuzo ya heshima na ya kumfariji Mshambuliaji wao,Fiston Mayele baada ya kuingia kwenye Orodha ya wachezaji watatu bora wa ndani wa Mwaka wa Afrika na kukosa tuzo hiyo hapo jana.

from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post