Klabu ya Simba imepata ushindi wa Simba Sc imepata ushindi wa 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mechi ya Iigi Kuu ya NBC katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Ushindi huu unaifanya Simba kukwea hadi nafasi ya tatu wakifikisha alama 22 baada ya mechi 9.
Saido Ntibanzokiza amefunga goli kwa penati dakika ya 45, huku Kanoute akifunga goli la pili dakika ya 75.
John Bocco akafunga goli la tatu dakika y 90+1.
Huu ni ushindi wa kwanza kwanza kwa kocha mpya Abdelhak Benchikha toka ajiunge na Simba.
Kagera Sugar wanasalia nafasi ya 12 alama 13 baada ya mechi 12.
Azam wanaongoza wakiwa na pointi 28 wakifuatiwa na Yanga yenye pointi 24.
The post Simba yaifanyia kweli Kagera Sugar appeared first on Kitenge Blog.
By Author
Post a Comment