KARIBU SANA TAMBA PRODUCTS – UBORA HALISI WA ASILI! |Shamteeblog.


KARIBU SANA TAMBA PRODUCTS – UBORA HALISI WA ASILI!

Pata bidhaa bora na za asili kutoka Tamba Products, zikiwemo:

👉Tamba Soap Safi

👉Nishati Mbadala

👉Tamba Mboji na nyingine nyingi.

Tamba Soap Safi ni sabuni ya asili iliyotengenezwa kwa viwango vya juu bila kemikali hatarishi. 

Faida zake ni nyingi:

👉Inang’arisha na kulainisha ngozi

👉Inatoa harufu nzuri ya kudumu

👉Inaimarisha nywele na afya ya ngozi

👉Inaondoa harufu mbaya mwilini na kukupa mvuto wa kipekee siku nzima

Matumizi ya ziada ya Tamba Soap Safi:

👉Kuogea

👉Kufua nguo

👉Kusafisha bafuni na chooni

👉Kuoshea vyombo aina zote

Tunapatikana:
Kahama Mjini – Soko la Mkulima, Lumambo Majengo

Wasiliana nasi:
Email: doctortamba4@gmail.com
Simu: 0764 678 552
Made in Kahama, Tanzania

Karibu ujionee tofauti ya ubora wa asili – Tamba Products!






 



By Mpekuzi

Post a Comment

Previous Post Next Post