DKT. MPANGO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA BAHARI NCHINI UFARANSA |Shamteeblog.
NaAidan Shamte-0
Makamu Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa tarehe 09 Juni 2025.
Post a Comment