
Kabla sijajua nini maana ya amani ya ndoa, nilijua uchungu wa usaliti. Mume wangu alikuwa mwanaume wa heshima mbele za watu, lakini ndani ya nyumba aligeuka kuwa mtu tofauti kabisa. Simu yake ilikuwa kama kifaru haiwezi kuguswa, kuangaliwa wala kuulizwa.
Usiku wa manane alikuwa akiandika meseji kwa kucheka kimya, mchana alikua akijifanya kazini, kumbe yuko na wake wa watu. Soma zaidi
By Mpekuzi
Post a Comment