JACKPOT ILIKUWA KAMA NDOTO MPAKA NILIPOJUA SIRI YA MSHINDI WA KWELI! |Shamteeblog.


Mara ya kwanza nilipopata droo ya SportPesa ilikuwa mwaka jana mwezi wa nne. Nilikuwa nimeweka dau la shilingi 200 tu, na nilipata mechi zote sawa isipokuwa moja. Wale ambao walikuwa wamecheza kama mimi waliambulia mamilioni. Mimi nilibaki nikikodolea simu macho, nikijiuliza, “Mbona yangu tu ndiyo ikosee?”

Mwezi mmoja baadaye, bahati ilinichezea tena. Nilikosa timu mbili kati ya kumi na nane. Nafasi ilikuwa pale, ushindi ulikuwa karibu, lakini nikabaki na mshangao na huzuni. Nikaapa kutocheza tena.


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post