
Tukio la kushtua limezua taharuki, baada ya Mbunge mpya kuanza kupagawa kila mara anapopanda jukwaani kuhutubia wananchi.
Awali, ilionekana kama kichekesho lakini hali ilivyozidi kuwa ya kawaida, wasaidizi wake wakaanza kuficha kamera na kukatisha hotuba kabla watu wengi hawajashuhudia. Soma zaidi
By Mpekuzi
Post a Comment