NILIACHWA NA KILA RAFIKI BAADA YA KUWA TAJIRI GHAFLA, SIRI YA MAFANIKIO YANGU ILIPOJULIKANA WOTE WALITUBU |Shamteeblog.



Nilikuwa nimezoea maisha ya kawaida ya umaskini. Siku zote nilipambana kuendesha maisha yangu, nikitafuta vibarua vya hapa na pale mjini Mbeya ili nipate pesa ya chakula na kodi. 

Nilikuwa na marafiki wengi wa karibu hasa wanawake tuliokuwa tukisaidiana kila mara mambo yalipoenda kombo. Tulikuwa kama dada; nilifikiri urafiki wetu ungekuwa wa milele.


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post