
Kwa zaidi ya muongo mmoja, maisha yangu yalizunguka kwenye mzunguko wa kuhama kutoka nyumba moja ya kupanga hadi nyingine. Mara kodi inapanda, mara mwenye nyumba anataka kutumia, mara maji hayapo, mara umeme umekatwa kwa wiki nzima.
Nilikuwa nimezoea kubeba vitu vyangu kwa gunia; hata watoto wangu walijifunza kutofunga mizigo sana, kwa kuwa hatukuwahi kukaa mahali pamoja kwa zaidi ya mwaka mmoja.
By Mpekuzi
Post a Comment