PICHA: RC GEITA AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA BONDA NKINGA KISHAPU |Shamteeblog.

Na Sumai Salum-Kishapu

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela akizungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa Afisa hesabu mwandamizi Wizara ya kilimo aliyefariki Juni 15, 2026 Ndg. Bonda Nkinga, nyumbani kwao Kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga juni 20, 2026
 Mkuu wa Wilaya ya Arusha mkoani Arusha Mhe. Joseph Modest Mkude akizungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa Afisa hesabu mwandamizi Wizara ya kilimo aliyefariki Juni 15, 2026 Ndg. Bonda Nkinga, nyumbani kwao Kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga juni 20, 2026
Mjane wa marehemu Bonda Nkinga
Mwakilishi kutoka Wizara ya kilimo










































































































































































 








By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post