Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, Mwana Mfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Falme za Kiarabu (UAE) Tarehe 25 Februari, 2022 amemkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ambaye yuko katika ziara ya kikazi UAE.
The post Rais samia na Mfalme wa nchi za kiarabu appeared first on KITENGE BLOG.
By Author
Post a Comment