Fifa, Uefa zaifungia Urusi |Shamteeblog.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani(FIFA) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Ulaya (UEFA) zimeifungia Urusi kushiriki mashindano ya kimataifa kwa ngazi Timu ya Taifa na Klabu hadi itakapotangazwa tena.

Hatua hii ni sehemu ya vikwazo kupitia michezo katika kupinga uvamizi wake nchini Ukraine.

Hii ina maana Urusi sasa mwezi ujao haitacheza na Poland katika mechi za ‘playoff’ za kombe la Dunia.

The post Fifa, Uefa zaifungia Urusi appeared first on KITENGE BLOG.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post