Klabu ya Al Hilal ya Sudan imeibuka na ushindi wa 5-0 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana wakati inajiandaa kukipiga na Simba katika mechi za kimataifa za kirafiki zinazoendelea Sudan.
Simba inaendelea na mazoezi yake leo tayari kuivaa Asante Kotoko iliyojeruhiwa hapo kesho.
Simba SC pia itacheza mechi yake ya pili ya kirafiki dhidi ya Al Hilal siku ya Agosti 31, 2022.
Mechi hizo ni maalumu kwa ajili ya kuziandaa timu shiriki na michuano ya vilabu barani Afrika.
The post Al Hilal yaitumia salamu Simba appeared first on KITENGE BLOG.
By Author
Post a Comment