Watoto Hawanieshimu Wala Kunisikiriza Tangu Niachane Na Baba Yao 2012 |Shamteeblog.



Kiwangadoctors ni madactari ambao wanasifika kwa kazi yao nzuri Afrika Mashariki na Kati.

kiwangadoctors wana dawa ya kupandishwa cheo,dawa ya kupata kazi,dawa ya kupata mpenzi wa ndoto Zako,dawa ya kurudisha mpenzi wako kwa masaa 72,dawa ya kutambua kuwa mwenzako anamausinano na mtu mwingine zaidi yako au la kwa mda wa masaa 24,dawa ya Nguvu za kiume na dawa ya pressure.

Wasiljana na kiwangadoctors kwa namba +254769404965,

Barua pepe kiwangadoctors@gmail.com pia kujua mengi kuwahusu temberea website yao www.kiwangadoctors.com.

Mimi ni mzazi wa watoto wanne kati yao mmoja ni mtoto wa kiume ambaye ndo mtoto wa kwanza na wariobaki ni watoto wa kike.Siku zote mzazi  yoyote uwaombea watoto wake maisha mazuri pia uwatakia kizazi chema,hiyo ndo dua ya mzazi yoyote katika dunia hii pia Upande wa pili mzazi yoyote utegemea watoto wake haswa pale anapozeeka.Mtu yoyote akisha fikisha miaka 60 na kuenderea uwa kama mtoto mdogo hivyo uitaji msaada mkubwa kutoka kwa familiya yake haswa kizazi chake kwa namna moja au nyingine 
Mwaka 2013 niliachana na Baba watoto na kuamua kuishi peke yangu na watoto  kutokana na kukidhiri kwa tabia ya Baba watoto wangu.

Tabia ambayo nirivumiria kwa miaka mitano nikidhani mme wangu atabadirika ila haikuwa kama nilivyokuwa nategemea.Baada ya kuachana nae kwa mda mfupi ario mwanamke mwingine ila mimi sikushangaa kwa nini ameoa kwa mda mfupi sana nirijua tu tabia yake ya kupenda wanawake tofauti hawezi kukosa  pia aritumia nafasi hiyo kama kunikomoa mimi.

Maisha yarisonga japo Baba watoto wangu baada ya kuachana nae hakujiusisha na jambo lolote kuhusu watoto wetu,kwa upande wa chakula,mavazi Ramoja na elimu ambayo ndo haki yao kubwa na muongozo wa maisha yao ya badae.

Mimi kama mama nilijitaidi kadri niwezavyo adi ikafika hatua ya kulala na wanaume ambao siyo lika langu ili mradi watoto wangu wasome na kupata chakula japo watoto wangu niriwaficha sikutaka wajue jinsi ninavyoangaika juu yao.

Hayo yote niliyafanya kwa ajiri ya watoto wangu wala sijutii kufanya vile maana niliwatakizia maisha mazuri watoto wangu.Japo watoto wangu hawakuweza kuritabua hilo baada ya kukua zaidi warianza kunionyesha dharau kadri warivyoweza ila mimi kama mzazi niliomba dua nzuri kwa muumba wa mungu na Arithi ili aweze wafungua macho wakumbuke  wapi nimemtoa.

Imefika hatua awanisaidii kitu chochote ata nikiwaambia uwapikie chakula hawataki kabisa,mtoto wa kiume kazi yake ni kubeba vyuma na kupansisha kifua tu,na wasichana hao ndo baraa tupu maana wamepata matiti kifuani mwao hivyo kazi yao ni kula chips za wanaume tu hali ya kuwa mimi kama mzazi natabua kuwa wamepotea njia na madhara yake ni makubwa sana hapo badae.

Mimi kama mzazi nimeongea nao sana kuhusu tabia zao hawataki kubadirika pia nimemshirikisha mzazi mwenza kuhusu tabia za watoto wetu akanijibu kuwa mimi nijuane na watoto wangu yeye haimuusu.Hivyo akuna msaada ata wa mawazo ambo ananipatia.

Kutokana na tabia zao imenibidi niende kwa makanisa mbalimbali kwa ajiri ya maombo ili nione kama watabadirika ila hamna adi nimepata ugonjwa kwa Sukari na Pressure kisa kuwaza sana juu ya watoto wangu.


Nimewalea kwa tabu,nimewasomesha kwa tabu ila hamna chochote wanachojishughurisha nacho hali ya kuwa ndo walikuwa tegemeq langu hapo baadae.Mimi kama mzazi nashindwa kipi cha kufanya kwa sababu siwezi wafukuza hawana pakwenda na hawatapata mama yao mwingine zaidi yangu.

Naitaji ushauri wa haraka ili niweze pata jibu sahiii la kusaidia kizazi changu kwa sababu sina wa kutwisha mzigo huu zaidi ya gu mini kuubeba.


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post