BODI YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMA PORI (TAWA) YATEMBELEA BUSTANI YA WANYAMA PORI RUHILA, SONGEA |Shamteeblog.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(Tawa) Meja Jenerali (Mst)  Hamis Semfuko akikagua gwaride maalum  la Askari Wanyamapori kikosi cha kuzuia Ujangili Kanda ya Kusini Songea wakati wa ziara ya wajumbe wa Bodi hiyo  walipotembelea Bustani ya wanyamapori Ruhila iliyopo km 8 kutoka Songea mjini. Picha na Muhidin Amri

 


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post